WomanOfSubstance
JF-Expert Member
- May 30, 2008
- 5,457
- 963
Kwanini wailipie?well.. lakini kama kura zina gharama kwanini wananchi wasiilipie?
Kwanini wailipie?
wanailipia kwa faida ya nani?
well.. lakini kama kura zina gharama kwanini wananchi wasiilipie?
Hiyo formula ina-aply kwa siku moja tuu..miaka 5 yoote ni shida...
I gues wengi wetu humu ndani mmewahi kutembea vijijini.
Nasema vijijini nikimaanisha vijiji kweli!
Kule utakuta m2 anavaa fulani moja miaka na miaka,
Ukaenda sasa hivi ukampa fulana mpya atakuona wewe kama mkombozi.
Na kura utapewa bila kupingwa!!
Swali Langu ni kwamba. Mbona sijaona T-shirts za CHADEMA?
in maana wao tu ndo wenye uwezo wa kugawa fulana na kofia?