Gharama ya kusafirisha gari

Gharama ya kusafirisha gari

mgungani

Member
Joined
May 13, 2022
Posts
38
Reaction score
60
Nimenunua gari DSM harria ya mwaka 2003. Naomba kujua gharama ya kusafirisha kwenda Mwanza. Mafuta lita ngapi? Dereva analipwa bei gani kulipeleka Mwanza. Ipi rahisi kuliendesha au kulipakia kwenye fuso?

Dereva mwenye uzoefu anipigie nimpe hiyo tenda. Je, kuna uwezekano wa kupata abiria wa njiani ili kupunguza bei gharama za mafuta? Dereva anayetaka hiyo kazi anipigie 0653 141189.
 
Mimi mwenyewe nina mpango na corolla kutoka Dar kuipeleka Sengerema ngoja waje
 
Back
Top Bottom