Usibebe gari kwenye fuso. Tafuta dereva rate ya kuleta gari mwanza laki mbili. Mafuta tank moja na nusu... Kubeba kwenye fuso locally ni bei na inabidi ifungwe mabelt kwenye matairi lakini pia nadhani linahitaji kibali cha kubebwa.
Hariel mafuta laki ngapi au imekuwa ist. Mafuta hapo ikila kidogo 350kDar Mwanza 150,000-200,000/-
Mafuta andaa 250,000/-
Hiyo gari.
250, anaifikisha. Huko 350 ni hela aiandae ya emergency tu.Hariel mafuta laki .ngapi au imekuwa ist. Mafuta hapo ikila kidogo 350k