MONA WA KYEN JF-Expert Member Joined Dec 23, 2016 Posts 340 Reaction score 271 Jul 2, 2020 #1 Wakuu habari natumai wazima wa afya. Ningependa kuuliza hivi gharama ya kusafirisha mzigo kwa ndege kutoka nje ya nchi huwa ni kiasi gani? Asia, Marekani nk Asateni. Natanguliza shukrani.
Wakuu habari natumai wazima wa afya. Ningependa kuuliza hivi gharama ya kusafirisha mzigo kwa ndege kutoka nje ya nchi huwa ni kiasi gani? Asia, Marekani nk Asateni. Natanguliza shukrani.