Gharama ya kutoa gari bandarini

Heavy equipment

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
1,456
Reaction score
1,005
Wadau habari,

Naulizia gharama za kuitoa hii gari bandari ya dar es salaam.
Bei iliyopo sokoni Japan ni
$ 10,659
Nauliza mpaka itoke Bandarini itatumia shilingi ngapi?

Type: Nisan condor
Version/class-dump truck
Engine size 6920cc
Registration 2004/9 year
Weight 4010kg.

 
Nicheki au nipm nikuelekeze
 
Ili kujua gharama halisi ya kulipia ili gari liweze kuingia kuna kikokoteo cha TRA ingia kuna website ya TRA. Bei ya gari pekee haiwezi kuwa determinant ya gharama za ushuru wa kuingiza gari. Hivyo ni vizuri ukatumia hiyo formula ya TRA yenyewe unaingiza data kisha inakupa jumla ya kiasi unachopaswa kulipia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…