Gharama ya kuweka shoti

Gharama ya kuweka shoti

DALT

Senior Member
Joined
Jul 17, 2021
Posts
168
Reaction score
74
Wakuu habari, natanguliza shukrani kwenu, nilikuwa nauliza gharama ya kuweka shoti ya umeme kwenye uzio wa nyumba ipoje, naombeni msaada
 
Huwa wanachaji kwa mita, kwahiyo kama una eneo dogo bei itakua chini, nakushauri tafuta watu wanaohusika wakufanyie hesabu
 
Asante mkuu Ila kwa uelewa wako mita moja inaweza kuwa bei gani?
 
23,000 hadi 25,000

Sahihi kabisa ila kuna wanaofanya mpaka 20000 kwa mita ila electrics fenc unatakiw utafute mtu mwenye ujuzi usiangaalie bei hizo waya mara nyingi huwa zinalegea kutokana na kutokuvutwa vizuri ndo zile unapita sehemu zimening’inia kama bembea unapata hasara marekebisho mara kwa mara.
 
Mimi ni fundi wa Fensi za umeme, Kama utakua Bado hujafanikisha zoezi la kufungiwa fensi ya Umeme naomba tuwasiliane 0767780909 au WhatsApp 0718944022...

Ntakushauri na pia ntakupa gharama nzuri sanaaa..
 
Wakuu habari,natanguliza shukrani kwenu ,nilikuwa nauliza gharama ya kuweka shoti ya umeme kwenye uzio wa nyumba ipoje, naombeni msaada
Gharama inafutatana na ukubwa wa Fensi yako.. weka vipimo vya urefu na upana tukupe bei🙏
 
Back
Top Bottom