Gharama ya materials na ufundi wa PVC ceiling board.

Udochi

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2015
Posts
787
Reaction score
1,056
Wakuu,
Naulizia gharama ya PVC board za dari nje ya nyumba.
  • Zinauzwa sh. ngapi?
  • Kwa nyumba za vyumba vitatu, sebule, jiko, dinning room & vyoo viwili, gharama ya ufundi ni Sh. ngapi?

Msaada ili tuvuke hiyo hatua wakuu.
 
Mpaka unajenga jengo kufika hatua hio duka la vifaa vya ujenzi utakuwa una lifahamu, sehemu sahihi ya kupata bei ya bidhaa ni dukani.

Hata hivyo pvs pic 1 ni kati ya 8,000 hadi 10,000.
Garama za ufundi ni walao asilimia 25 hadi 30 ya garama za material.
 
Ahsante sana mkuu.
 
Back
Top Bottom