Nimekupatakaka nimeku pm
gharama yake ni kiasi gani?Ziko ekari 150 - Mkoa wa Pwani
kaka nimeku pm
Una info Sting kuhusu eneo hilo?Weka vitu Hewani Mkuu, Mambo ya PM yanatunyima na wengine fursa!!
Una info Sting kuhusu eneo hilo?
Of course shamba linahitajika kwa ajili ya uwekezaji kwenye kilimo cha vitunguu maji na swaumu, labda kama una info kuhusu kilimo kinachoweza kufaa pia, nitashukuru!Sina infos,
But open communication itasaidia na wengine ku-develop interest!!
gharama yake ni kiasi gani?
Habari! Naomba kujuzwa gharama ya shamba la eka 500 na sehemu nayoweza kupata (Ni kwa ajili ya kilimo hasa vitunguuu na vitunguu swaumu)
Asante
@ 600,000.00