Mkuu hivi vifaa nikiviwasha fully kwa pamoja, hio solar power inaweza kuhimili kwa muda wa masaa mangapi kabla umeme kwenye inverter haujaisha??sola system ya kuendesha fridge,taa 8 pamoja,dek,fen,dicoda,tv pamoja na radio ipo andaa 3.9 ml umeme wa uhakika kwa warant ya miaka 25 chin ya uangalizi wa steps solar
Mkuu hivi vifaa nikiviwasha fully kwa pamoja, hio solar power inaweza kuhimili kwa muda wa masaa mangapi kabla umeme kwenye inverter haujaisha??