Gharama ya studio ya kusafisha picha

Habari kaka.naweza pata mawasiliano yako?naitaji kujua a,b,c juu ya mashine hzo.mawasiliano yangu ni 0654 806364.Tafadhali sana
 
Mi nina ofisi ya picha (Photo studio) Mashine nilizonazo Noritsu na Fuji ni niashara mzuri hasa ukiwa centre mzuri .Ila zote zinatoa mwisho A4.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…