Michael Bosco
Member
- Jan 10, 2010
- 94
- 52
Ni mtambo wa gongo wa Kizungu, nipe milioni tu tuyajenge.Msaada tutani nilikuwa nauliza gharama ya kununua na upatikaji wa mitambo ya kuanziasha kiwanda cha kutengeneza pombe Kali jamii ya double kick, strong etc.
Kwa yoyote mwenye ABC karibu.
Ahsante
Let's be seriousNi mtambo wa gongo wa Kizungu, nipe milioni tu tuyajenge.
Ukiona gharama ni kubwa nenda DIT watakutengenezea
Ngoja nitafute mil 50 kwanza niwe nayo mkononi ndio niendeUmemwangalia Bilionea Mulokozi akakushawishi? Hahaha.
Nenda Manyara ukajifunze...ni muungwana atakupa ABC. Hapa hautapata taarifa za kueleweka