Gharama ya usafirishaji wa mizigo kwenye bandari ya Dar es Salaam yawa chache zaidi kuliko Mombasa

Gharama ya usafirishaji wa mizigo kwenye bandari ya Dar es Salaam yawa chache zaidi kuliko Mombasa

geofizor

Member
Joined
Jun 5, 2014
Posts
59
Reaction score
26
Gharama ya usafirishaji wa mizigo kwenye bandari ya Dar es Salaam yawa chache zaidi kuliko Mombasa

Habari zinasema gharama ya kusafirisha mizigo kutoka bandari ya Dar es Salaam hadi Bujumbura imekuwa dola 1.80 za kimarekani kwa kilomita moja,ambapo gharama za kusafirisha kutoka bandari ya Mombasa ni kiasi cha dola 3.10 za kimarekani..
Ripoti ya uchunguzi juu ya mambo ya usafirishaji kwenye “ushoroba wa kati” pia imeonyesha kuwa gharama hizo kutoka bandari ya Dar es Salaam hadi Kigali imekuwa dola 1.90 za kimarekani kwa kilomita moja, ambapo kutoka bandari ya Mombasa ni dola 2.10 za kimarekani. Hali ambayo imeonyesha kuwa usafirishaji wa mizigo kupitia “ushoroba wa kati” ni wa bei nafuu zaidi ikilinganishwa na njia ya kaskazini.

source CRI kiswahili

Hebu rekebisha kwanza hiyo Heading yako. Umeandika Utopolo wa Kiswahili cha Nairobi," Gharama yawa chache" ndo nini
 
Back
Top Bottom