Gharama Ya Video Ya My Number One Remix

Gharama Ya Video Ya My Number One Remix

Ibrahim300

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2010
Posts
390
Reaction score
68
Naseeb Abdul “Diamond Platinumz” ameweka wazi kuhusu gharama ya video yake ya Number One Remix aliyoifanya na director Clarence Peters wa Nigeria.

Diamond anasema gharama hii hazijumuishi usafiri wala accommodation walipokua Nigeria.

Diamond amelipa dola 25,000 sawa na Tsh millioni 40 za kitanzania kufanya production ya hii video ambapo ilijumuisha gharama za kila kitu hadi models na dancers.
 
Jamani mbona Original yake naona iko poa sana.
Ila kwa hapa Tanzania hizo dollar 20,000 kwa show naona anapotea vile. Ila atafanikiwa, waendao kwenye show mmpe support.

HAYA NI MAONI YANGU
 
Duh km timu yake imekosea dzain trust me hii joint haiwezi kum-boost iko kawaida sn kwa mtazamo wng wishin' iyo 40 million ange-invest kwa ngoma mpya na Davido mara nyng remix sucks wachache wanazifanya vzr.
 
Kideo cha kawaida sana,hata kile cha kesho kizuri
 
Kusema cha ukweli video haijawa waoooo kivilile yakawaida sana.
 
Video ya kawaida sana maana imeshotiwa inhouse yote nadhani original iko poa zaidi
 
Back
Top Bottom