Gharama za ada kwa vyuo vya afya mwaka wa masomo 2024/2025 zipoje?

Samahan vp kuhusu Kairuki university
Screenshot_20240913-105947.png
 
Hamna chuo cha private chinj ya milioni 4 bei ya juu kabisa ni Kampala university utalipa 7.7 milioni
ila kusema ukweli hii program ni michosho mno

Ada ni hela nyingi mno, pia muda wa kusoma ni mrefu (miaka 5))

Huku kuna watu wanasoma program ambazo kwa mwaka adaa ni 1.5M kwa miaka 3 tu huku baadae wanakunja mishahara mirefu kuliko MD
 
Daa ni kweli ila pia MD akiinahatisha anakunja hela kubwa zaidi
 
Back
Top Bottom