Gharama za bandarini zinakuaje?

sajo

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2010
Posts
3,474
Reaction score
6,195
napenda kufahamu kama nikinunua gari japan,lenye engine ya mwaka 2000,na cc 2000 kwa gharama ya sh milioni 6,500,000/- mpaka kulifikisha dar es salaam harbour,nitachajiwa sh ngapi na tra/serikali mpaka nilitoe bandarini?na process hua inachukua siku ngapi kulitoa bandarini?kwa anaejua anisaidie
 

Namie nauliza swali kama lako, wana JF tunaomba mtusaidie gharama zitakuaje hapo.
 
na vipi kuhusu vifaa vya umeme jua,gharama yake inakuwaje?
 
Tembelea mtandao wa TRA kuna formula, ukiewatembelea ofisini watakuelekeza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…