Una umri gani?
Je, umewahi kufanya check-up hapo kabla?
Binafsi naamini haya mambo mengine yanaendana na lifestyle ya mtu. Sio ajabu wewe umeishi miaka yote raha mstarehe lakini ukienda kufanya hiyo mara ndio wanaanzia kukueleza kuwa: moyo una tundu, figo zitafeli, damu haizunguki vizuri, utumbo hausagi chakula inavyotakiwa nk, alafu hitimisho ni kuishi kwenye nyumba ambayo ni 'dust proof' na kula nyama isiyo nyekundu mara tatu kwa juma.