Gharama za clearance 1x20 container in Mombas port to Juba -Sudan

kesssyelias

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2017
Posts
280
Reaction score
316
Habarini wa ndugu, nataka msaada wa kujua gharama za clearence ya 20 " container kutoka Mombasa port na gharama za kusafirisha hadi Juba, Sudan
 
habarini wa ndugu, nataka msaada wa kujua gharama za clearence ya 20 " container kutoka Mombasa port na gharama za kusafirisha hadi Juba-sudan
Naona mwenzetu umehamishia bishara zako huko Sudan ya Kusini. Hongera sana.
 
Habarini wa ndugu, nataka msaada wa kujua gharama za clearence ya 20 " container kutoka Mombasa port na gharama za kusafirisha hadi Juba, Sudan
Mwenzetu uzalendo uko wapi unaacha Bandari yetu nambari wani duniani unataka kutumia hiyo bubu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…