The BornAgain
JF-Expert Member
- Jun 23, 2024
- 428
- 582
Habari, najua post zetu hazichukui nafasi kwa walio wengi, basi kwa wale tu wenye nia na pengine badae watakuwa na uhitaji wa huduma za ushauri na kuandikiwa "Writeups" kwa ajili ya mikakati yao ya kimaendeleo kiuchumi na kijamii..twendelee kujuzana bila kuchoka.
Kwa nchi zilizoendelea, ushauri wowote wa kitaalam ni moja ya hatua mhimu kwa taasisi au mtu binafsi kabla ya kuanzisha shughuli au mradi au biashara yoyote..au hata wakati shughuli zikiendelea wakati fulani ita mshauri mpe wazo lako mtajadili na kisha kukuelekeza nini kifanyike......sawa najua kuna ushauri wa marafiki, jamaa au ndugu zetu hutupatia, lakini epuka kuogopa gharama za washauri sababu inawezekana ukawa unajiandaa kuingia gharama kubwa zaidi hapo baadae.
Mimi binafsi tangu nimeanza shughuli hizi za ushauri na uandishi wa Writeups mbalimbali za miradi ya kiuchumi na kijamii, nimeona wadau wengi kuogopa gharama hata kama ni za kawaida, pia wajuaji sana (hii inatokana na uzoefu, ushauri usio rasmi, kuiga wengine, kuwa na rasimali za kutosha au uhakika kuzipata bila andiko nk), ila pia wengi hawangalii kesho ya huo mradi ( wanatembea na ile dhana ya ujasiliamali ni kuwa jasiri wa kuanza), wengine wana tabia ya kudharau wasomi sababu wana ukwasi na kuna wengine ni "wajinga" na hawataki kueleweshwa.
Kimsingi Ushauri wowote wa kutaalam ni gharama ila kikwetu kwetu hapa sio gharama kivile, mfano wenzetu huko wanaweka ada kubwa kubwa za ushauri wa maneno tu unachajiwa kwa mda mliotumia, au kama ni kaundika "writeup" unakuta the low priced ni usd 500 hadi mamilioni mengi huko..lakini kwetu sisi mtu anataka ushauri bure..unakubali ila mfanye mkakati fulani anataka akupe elf 20, unamwambia hapa fanya milioni,..uwii ni kama kasikia mamilioni..uliza kitu mnachotaka kutengeneza kifanikiwe ni mamlioni au billions...lakini tutambue kufanya kitu kitaalamu inasaidia sana kuweka wazo lako kimkakati na kujua safari yako nzima japo kwa miaka kadhaa mbeleni..inakufanya uamue maamuzi sahihi kwa wakati sahihi..USIOGOPE GHARAMA, hapa kwetu gharama si za kutisha..jua pia wapo washauri wakubwa walipo vyuo vikuu, ambao huchaji pesa ndefu kwasababu ni madokta au maprofesa ila ukiwapa pesa wanazunguka huku nyuma wanatupa hizo hizo kazi kwa pesa ndogo tu, tukimaliza wanapitia, wataedit tu na kukupatia.
Wanajamvi hakuna gharama ya kutisha kwenye jambo la faida, if you find the cheapest service expect copied and pasted work..nashauri let your consultant be free to work on your idea, then hakikisha mwisho wa kazi yako anakupa semina ya alichoandika (awe kama ana defend kazi yake). Tunajidanganya sometimes kuwa mbona zipo templates au kazi nyingine tuige tu..kweli lakini the assignment will lack originality/genuineness.
Siku hizi kuna AI business planning, that also needs your genuine idea as input, kinyume na hapo utazalishiwa poor writeup ila well written. Sometimes business plan though kuna elements zinafanana ila setting yake is not always the same..kuna setting zingine zinazingatia financier or donor formats.
Asante kwa leo tena. Kwasasa nina assignment ya kufanya Need Analysis kwa ajili ya ku upgrade huduma za shule fulani ya private.