Kitumburee
Senior Member
- Jan 31, 2012
- 142
- 88
Nawasalimu wanajamvi.
Nimejenga nyumba yangu mitaa ya Goba Dar es salaam, yenye ukubwa wa sqm 340, Pesa zenyewe nimeungaunga kweli ujenzi ulianza tangu 2015 mpaka sasa ndio nataka kupaua. Nimefika hatua ya kupaua ila napata kigugumizi kila fundi ananipa mahesabu tofauti na gharama tofauti. Nilishauriwa kujenga flat roof ili nipunguze gharama za kupaua ila naona gharama ninazopewa na mafundi zimezidi hata baadhi ya waliopaua patched roof
Swali langu kwenu ni;
1. Makadirio ya vifaa
2. Malipo ya ufundi
Nimeweka picha ya paa na ramani