Gharama za Gari hii hadi inakufikia Mkononi ni kiasi gani?

Gharama za Gari hii hadi inakufikia Mkononi ni kiasi gani?

Ziltan

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2011
Posts
2,672
Reaction score
6,880
Aina: Toyota Corolla Rumion
NZE151-1049698
Grade 1.5G
Year 2008
CC 1,500cc
Inspection
Score 4
Interior B
Transmission IAT
Note mileage74,000km
Odometer 74,000km
A/C AC

Price up to dar es Salam: $2920
 
Naona wataalamu wapo kimya. Ninavoelewa kwa hizo specifications tra watataka almost 5 to 6M, ukijumlisha na hiyo utachezea kwenye 12 - 13M hivi
 
Karibia 7m
 

Attachments

  • Screenshot_20230623-163312.png
    Screenshot_20230623-163312.png
    40.5 KB · Views: 33
Hii iwe kabla mwaka wa fedha Tarehe 1 mwezi 7.
Asante
 
Back
Top Bottom