Gharama za hostel_arusha

mzee wa kismati

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2013
Posts
2,292
Reaction score
798
Bandugu kwa anaejua gharama ya hostel za binafsi na vyuo kwa Arusha mjini au maeneo ya karibu na Arusha mjini anisaidie mwenzenu mgeni Arusha mwenyeji wa Dar nmepangiwa field Arusha ambyo ni kwa muda miezi miwili
 
Bei za vyumba zinaanzia 35000 kwa mwezi. Arusha town...
 
Bandugu kwa anaejua gharama ya hostel za binafsi na vyuo kwa Arusha mjini au maeneo ya karibu na Arusha mjini anisaidie mwenzenu mgeni Arusha mwenyeji wa Dar nmepangiwa field Arusha ambyo ni kwa muda miezi miwili

Unakwenda field unataka kukaa hostel? Inamaana huna ndugu wala washikaji kabisa huko arusha? Ok subiri wajuzi wa mji waje.
 
mbna unakuwa kama mkude kijana field unapangiwa mkoa wwte inamaana wewe kila mkoa una ndugu ulafa huo
 
Mzee wa kismati hosteli inategemea umepangwa shule gani, ila nakushauri ripoti kwanza shule uliyopangwa headmaster atakusaidia kutafuta hostel au kukupatia chumba kulingana na uwezo wa shule husika. Kama upo sekta nyingine tofauti na elimu ripoti kwanza kituo cha kazi utapata maelekezo..
 
Bandugu kwa anaejua gharama ya hostel za binafsi na vyuo kwa Arusha mjini au maeneo ya karibu na Arusha mjini anisaidie mwenzenu mgeni Arusha mwenyeji wa Dar nmepangiwa field Arusha ambyo ni kwa muda miezi miwili

Unahitaj chumba au hostel? Hostel nying wanalipia kwa mwaka au semester, pia nyngne unakuta chumba kitupu
 
umesomeka vizuri aisee
 
soma vizuri alicho andika, kasema field ya 2month
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…