gharama za interview....

gharama za interview....

tindikalikali

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2011
Posts
4,854
Reaction score
1,129
Wakuu habari zenu wakuu. leo nimepigiwa simu, nahitajika kwenye interview jumatatu ( Green bird College-kipo wilayani Mwanga mkoani Kilimanjaro).
Shida yangu ni kutaka kujua gharama za nauli kutokea Dar pamoja na kukaa pale Mwanga kwa siku mbili.
Mwenye kufahamu, naomba msaada wako ili nijipange mapema.
natanguliza shukrani
 
Hongera tindikali, wanafamili kwa mnaojua gharama mpeni msaada mwanafamilia wa jf akatafute kazi. Good luck buddy
 
Nauli 20000 maximum, kulala guest inategemea na upendavyo, ila weka 15000,kuhusu chakula bei ni kawaida tu!
 
Back
Top Bottom