T Tuliwonda Senior Member Joined Jun 29, 2012 Posts 121 Reaction score 35 Jun 3, 2013 #1 Salam wakuu, Ningeomba mtu anaejuwa gharama za IVF (upandikizaji mimba) pale Dar clinic anijulishe tafadhali! Hata kama sio sahihi lakini makadirio yanafikia kiasi gani? Natanguliza shukrani.
Salam wakuu, Ningeomba mtu anaejuwa gharama za IVF (upandikizaji mimba) pale Dar clinic anijulishe tafadhali! Hata kama sio sahihi lakini makadirio yanafikia kiasi gani? Natanguliza shukrani.
Fadhili Paulo JF-Expert Member Joined Sep 1, 2011 Posts 3,211 Reaction score 993 Jun 3, 2013 #2 IVF DAR Contact us 47 Cocacola Road, Mikocheni B P.O. Box 16233, Dar-es-Salaam, Tanzania, East Africa. Tel.: +255 22 27 80 612 / +255 684 633 777 Email: info@darivf.com
IVF DAR Contact us 47 Cocacola Road, Mikocheni B P.O. Box 16233, Dar-es-Salaam, Tanzania, East Africa. Tel.: +255 22 27 80 612 / +255 684 633 777 Email: info@darivf.com
Chambusiso JF-Expert Member Joined Jul 11, 2007 Posts 2,592 Reaction score 4,640 Sep 7, 2015 #3 Tuliwonda said: Salam wakuu, ningeomba mtu anaejuwa gharama za IVF(upandikizaji mimba) pale Dar clinic anijulishe tafadhali! Hata kama sio sahihi lakini makadirio yanafikia kiasi gani? Natanguliza shukrani. Click to expand... $15,000 ukipata na dawa toka kwao haipungui $20,000 per cycle
Tuliwonda said: Salam wakuu, ningeomba mtu anaejuwa gharama za IVF(upandikizaji mimba) pale Dar clinic anijulishe tafadhali! Hata kama sio sahihi lakini makadirio yanafikia kiasi gani? Natanguliza shukrani. Click to expand... $15,000 ukipata na dawa toka kwao haipungui $20,000 per cycle