Gharama za kilimo cha mahindi

madigida

Member
Joined
Jan 30, 2013
Posts
40
Reaction score
2
Habari zenu wanajamii,
Nina plan ya kuanzisha kilimo cha mahindi maeneo ya Inyala Mkoani Mbeya. Nimepata ekari 20. Lakini sijawahi kilima mahindi mkoa huo. Kwa hiyo kabla sijaanza nilipenda kufahamu gharama za ulimaji kwa trekta kwa ekari moja uko vipi, gharama za wapandaji, palizi. Naombeni msaada wa mawazo yenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…