Mkuu sijakuelewa.., unataka gharama za kumpa mtu akufanyie research au gharama utakazo-incur kwa wewe mwenyewe kufanya.. kama ni wewe ni simple, alafu kumbuka proposal ni kwamba unaandika ni nini utakachofanya, kwahiyo hapa unakuwa haujafanya research yenyewe yaani kutafuta data:-Lakini gharama za full research itategemea unaifanyia wapi ambapo ita-include
- stationary
- secretarial services
- transport
- food
- na kama utaenda mbali na unapokaa (accomodation)
lakini a shortcut ongea na hizi NGO's za watoto wa mitaani kama Kuleana e.t.c nadhani watakuwa na ready made data ambazo zitapunguza kazi yako