Kisima peke yake weka milioni kama 20, kwa maana ya kuchimba kama ni eg 100 mts 6-11 mil depending on rock type, umeme kama huna weka like 1.6 mil plus vifaa, fundi, networking ya maji. Simtanks itategemea unataka reservoir ya kujengea au simtanks lakini roughly 2 mil.
bado kupanda kijana.
Hizo gharama nimekupa kwa sababu nina uzoefu nilikuwa na 12 mil nimechemka!!!!!!