Gharama za Kuanzisha Kituo Cha Television!

Gharama za Kuanzisha Kituo Cha Television!

Gates

Member
Joined
Jan 18, 2011
Posts
48
Reaction score
4
Habari wadau!

Nina mpango wa kuanzisha kituo cha television (entertainment) hapa nchini lakini sijui natakiwa niwe na mtaji kiasi gani.Tafadhali kwa yeyote anayeweza kunipatia makisio ya juu ya gharama zote za kuanzisha kituo cha television amwage.

Naomba kuwakilisha.
Ahsanteni.
 
makisio ya juu ya gharama zote can anything well above the minimum amount.... hongera....
 
Back
Top Bottom