Niende Moja Moja Kwa Moja kwenye hoja. Kwa Walio na uzoefu na hii kitu, gharama Zake zipoje hasa gharama za uendeshaji (operation cost)
1. Gharama za umeme (basis 1000 blocks)
2. Gharama za mchanga trip Moja na inaweza kutoa tofali Ngapi?
3. Gharama za cement inayoweza kuchanganywa na one trip ya mchanga
4. Gharama ya Maji (based on 1000 blocks)
5. Any raw material nliyoisahau
6. Soko la tofali lipoje?
7. Suggestion ya Location Ya site
N. B
cost kama ya mixer ndogo na kubwa ni 3.5M and 5M respectively. Na mashine (vibrating brick making machine) ni 3.2M. zote zinakuwa equipped na motor. Kuna Mahali inaweza patikana Kwa gharama chini ya hapo?
Karibu Kwa wenye utaalamu na au uzoefu na mambo hayo.
Mtanisamehe Kwa Matumizi yasiyosahihi ya lugha(kiswanglish)