The Teacher
Senior Member
- Feb 2, 2013
- 176
- 81
Good ideaNunua Epson printer ciss printer, start small.
Ahsante mkuu, hakuna vivutio vingi vya kitalii but target yangu ni hizi sherehe mbalimbali mfano za harusi, watu wakitaka kusafisha picha ni mpaka waende makao makuu ya mkoa.Angalia kama pia ni watu wengi wanapiga picha,usije pata asala bule,siku hz watu wanapiga picha kwenye simu tu kwa wingi,isipokua kama wilaya yako ina vivutio vya kiutalii na watu hupiga picha kwa wingi na kusafisha picha zao ili waondoke nazo unaweza fungua,ila kwa mimi sina uzoefu wa gharama hzo
Ahsante kwa ushauri mkuu, gharama zake zipoje kwa printer mpya?Nunua Epson printer ciss printer, start small.