V VeroEretico JF-Expert Member Joined Jun 23, 2013 Posts 512 Reaction score 398 Dec 1, 2017 #1 Wadau naomba mnisaidie gharama za kufanya installation za machine ya Peanut roaster machine, peanut peeling machine na peenut butter machine zote kwa pamoja zinagharimu kiasi gani za fedha za kitanzania? Pia zinapatikana wapi?
Wadau naomba mnisaidie gharama za kufanya installation za machine ya Peanut roaster machine, peanut peeling machine na peenut butter machine zote kwa pamoja zinagharimu kiasi gani za fedha za kitanzania? Pia zinapatikana wapi?
Mbassa jr JF-Expert Member Joined Feb 29, 2016 Posts 1,234 Reaction score 3,213 Dec 1, 2017 #2 Zinapopatikana jaribu kuingia mitandaoni uulize na uangalie au la nenda sido watakutengeneza ukiwa na sample
Zinapopatikana jaribu kuingia mitandaoni uulize na uangalie au la nenda sido watakutengeneza ukiwa na sample