garama itategemea na sababu ya kufanya overhaul, yawezekana ni cylinder-head, au block engine, au kifaa gani kimezingua so hakuna estimates bila kujua sababu, ila kama unataka kadirio la juu andaa kama 600k chenchi inaweza kubaki kutegemea na garage unayoendaWakuu, mwenye kufahamu gharama za kufanya overall engene kwenye gari aina ya rav4J, mnisaidie ili nifanye bajeti sahihi, na mambo gani muhimu ya kuzingatia ktk kufanya overall engene
Hehehee, mara nyingi huwa tunasikia mafundi wakisema, ila ni watu wachache wanajua neno sahihi ni overhaul. Ni kama lile gari, Hiace. Watu wengi wanalisoma HAISI, wakati linatakiwa kusomwa HAIESUnataka ku overall au overhaul engine?
Kurudi kwenye hoja ya msingi. Firstborn 79 ameelezea vizuri. Ila ushauri wangu, ni bora ukatafuta engine nyingine ufunge kuliko kufanya overhaul. Unaweza kutumia laki 6 maka laki 8, ila mpaka gari litulie, utagharamika zaidi. Na kwa kuwa parts nyingi utakazotumia sio genuine, litaanza kuleta shida mapema. So bora utafute engine nyingine used ufunge.Wakuu, mwenye kufahamu gharama za kufanya overall engene kwenye gari aina ya rav4J, mnisaidie ili nifanye bajeti sahihi, na mambo gani muhimu ya kuzingatia ktk kufanya overall engene
Mkuu ni overhaul na siyo over allWakuu, mwenye kufahamu gharama za kufanya overall engene kwenye gari aina ya rav4J, mnisaidie ili nifanye bajeti sahihi, na mambo gani muhimu ya kuzingatia ktk kufanya overall engene