Habari wana JF;
Nataka kununua gari (Used) Japan liende nyumbani TZ. Naomba kufahamu gharama zinakokotolewaje hapo TZ maana sifahamu itanigharimu kiasi gani. Gari lenyewe ni la mwaka 2000, bei yake CIF - Dar es Salaam ni USD 4000.
Natanguliza shukurani kwa msaada wenu.