JOFFREY BARATHEON
Senior Member
- Jun 26, 2014
- 107
- 195
Hivi kuna mtu anajua gharama za kujenga barabra Tanzania kwa kila kilometa moja?
Naomba figures in Dollars
tuseme barabara ni tambarare na kama kutakuwa na jidiraja bas ni viduchu tuuu
na barabara ni kilometa 50
Naomba figures in Dollars
tuseme barabara ni tambarare na kama kutakuwa na jidiraja bas ni viduchu tuuu
na barabara ni kilometa 50