J JOFFREY BARATHEON Senior Member Joined Jun 26, 2014 Posts 107 Reaction score 195 Nov 27, 2015 #1 Hivi kuna mtu anajua gharama za kujenga barabra Tanzania kwa kila kilometa moja? Naomba figures in Dollars tuseme barabara ni tambarare na kama kutakuwa na jidiraja bas ni viduchu tuuu na barabara ni kilometa 50
Hivi kuna mtu anajua gharama za kujenga barabra Tanzania kwa kila kilometa moja? Naomba figures in Dollars tuseme barabara ni tambarare na kama kutakuwa na jidiraja bas ni viduchu tuuu na barabara ni kilometa 50
samuel faraj JF-Expert Member Joined Jan 5, 2013 Posts 1,326 Reaction score 1,265 Nov 27, 2015 #2 Barabara ipi ya lami au changarawe