Gharama za kujenga nyumba Hadi kwenye lenta

Gharama za kujenga nyumba Hadi kwenye lenta

Aluwatan

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2023
Posts
267
Reaction score
573
Wadau habarini

Hivi gharama ya kujenga nyumba ya vyumba vitatu dinning na sitting room mpaka kufikia mwenye lentre inaweza kugharim shingap za kitanzania

Hapa naulizia kuanzia msingi, gharama za mchanga, cement, mawe, etc

Msaada wenu wakujichanga wenzangu
 
We fala tambua hata bei ya gari inatofautiana kutegemea sehemu Noah mwanza,tandahimba na dar lazima zitofautiane sana bei
 
Back
Top Bottom