Gharama za kujenga nyumba ya kawaida Dar es Salaam

Gharama za kujenga nyumba ya kawaida Dar es Salaam

Furahatuu

Senior Member
Joined
Apr 11, 2013
Posts
115
Reaction score
40
Amani kwenu
wadau wa ukadiriaji majengo naomba mnisaidie Gharama za kujenga Nyumba yenye vyumba vitatu vya kulala (2 vya kawaida na 1 master bedroon) sitting room na dinning, jiko na toilet) nitatumia mafundi wa mtaani, tiles kwenye corridor na sittingroom na dinning tu. naomba makadirio inaweza kugharimu shillingi ngapi. eneo ni dar es salaamu.
 
Ipo thread inayoelezea hilo kwa kirefu. Iko sticky kwenye hili jukwaa...
 
usijal hilo jambo dogo mm ni quantity surveyor nitafute kwa 0784834208 nikufanyie kazi yako na kwa yeyote anayeitaji
 
Back
Top Bottom