Amani kwenu
wadau wa ukadiriaji majengo naomba mnisaidie Gharama za kujenga Nyumba yenye vyumba vitatu vya kulala (2 vya kawaida na 1 master bedroon) sitting room na dinning, jiko na toilet) nitatumia mafundi wa mtaani, tiles kwenye corridor na sittingroom na dinning tu. naomba makadirio inaweza kugharimu shillingi ngapi. eneo ni dar es salaamu.