Rufaro
JF-Expert Member
- May 7, 2022
- 222
- 342
Habari za leo wajenzi.
Samahani, navutiwa au niseme nimevutiwa sana na ujenzi wa nyumba za kupangisha, zile zinazokaa nyingi kias ndani ya eneo moja.
Naomba kuuliza itanicost garama kiasi gani kwenye kiwanja chenye ukubwa wa square mita 800 kama nikiamua kujenga hivi, ndani ya eneo kuwe na unit 7, yaani chumba selfu, sebule, na jiko.
Nakaribisha maoni wajenzi. Asanteni