Katika Compound moja kama ivo public toilet inaeza kuwa moja ambayo ni rarely kutumika maana ni hadi moja kati ya hizo nyumba zipate mgeni ambaye ndio mlengwa wa matumizi ya choo cha nje!!Bora iwe chumba,sebure, public WC, jiko....
Ikitokea umepata mgeni ataingia jisaidia chumbani?
Namimi nahitaji msaada wako chief nakuja tuyajengeNitumie namba PM mkuu.
Wazo zuriKatika Compound moja kama ivo public toilet inaeza kuwa moja ambayo ni rarely kutumika maana ni hadi moja kati ya hizo nyumba zipate mgeni ambaye ndio mlengwa wa matumizi ya choo cha nje!!
Nimeiona fb nikaipenda. Ni nzuri kwa wapangaji, nami nimeanza kuifanyia kazi.Habari za leo wajenzi.
Samahani, navutiwa au niseme nimevutiwa sana na ujenzi wa nyumba za kupangisha, zile zinazokaa nyingi kias ndani ya eneo moja.
Naomba kuuliza itanicost garama kiasi gani kwenye kiwanja chenye ukubwa wa square mita 800 kama nikiamua kujenga hivi, ndani ya eneo kuwe na unit 7, yaani chumba selfu, sebule, na jiko.
Nakaribisha maoni wajenzi. Asanteni
Aisee..Nimeiona fb nikaipenda. Ni nzuri kwa wapangaji, nami nimeanza kuifanyia kazi.