B'REAL
JF-Expert Member
- Oct 20, 2010
- 4,443
- 3,002
Wakuu habari za saa hizi,
Nahitaji msaada,
Kujua gharama za kujifungua kwa operation katika hospitali za private? Nina mwezangu ambae ni mjamzito sasa nataka kujianda kwa chochote endapo ikitokea akajifungua kwa kisu inatakiwa niwe na kama kiasi gani cha fedha?