Kadi ya klinik naizungumzia mpenzhappy sio kwamba napesa sana, kadi sina niliacha kazi nikarudisha now ni mjasiria mali tu.
Iyo kad unaenda nayo Hospital ya serikali ni bure ila docta ndoanafanya anachotaka huwez muamrisha akufanyie opareshen kama utataka kwa hiar labda mnakaa mezanoooh kadi ya clinic ipo....kwahiyo hiyo inasaidia nini,tafadhali usinishangae kwa maswali yangu....maana ndo uzao wa kwanza.
[emoji122][emoji122][emoji122]Mkuu uzazi una mambo mengi sana ya kushtukiza, we andaa hata 3m ikibaki utamnunulia mama zawadi
mkuu unajua kama unavyo jua chochote kinaweza kutokea, na mimi binafsi ni mchacharikaji tu mjini nataka nijitaidi niwe na kiakiba flani hata ikitokea niweze kumudu,ila namuomba mungu ajifungue kwa njia ya kawaidaSamahani chief naomba nikuulize nje ya swali lako, kwanini mnajiandaa kwa operation?
Sawa nimekuelewa, Mungu atasikia maombi yako....best of luckmkuu unajua kama unavyo jua chochote kinaweza kutokea, na mimi binafsi ni mchacharikaji tu mjini nataka nijitaidi niwe na kiakiba flani hata ikitokea niweze kumudu,ila namuomba mungu ajifungue kwa njia ya kawaida