Gharama za kujisajili BASATA kwa Msanii/Promota

Gharama za kujisajili BASATA kwa Msanii/Promota

Status
Not open for further replies.

JamiiTalks

JF Advocacy Team
Joined
Aug 7, 2018
Posts
685
Reaction score
1,124
IMG_20210429_130423_352.jpg


Gharama za usajili ni kiasi cha Tsh. 75,000/- ambapo fomu hupatikana kwa Tsh. 5, 000/-, Usajili 30,000/- na kibali cha kila mwaka 40,000/-

Kwa upande wa Studio na wakuzaji wa Sanaa (Mapromota) gharama ni sawa na za Msanii isipokuwa tofauti huwa kwenye kibali, wao hulipa kiasi cha Tsh. 200,000/- kwa mwaka
 
Upvote 0
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom