Ahsante mkuu,Agiza zege ije kwa truck mixer, na hapo ulipopata zege watakuambia gharama ya conrete pump.
Nafurahi wananchi wengi wanajua umuhimu wa teknolojia ya kisasa ya kumwaga zege.
Sie tunatia pokerUsisahau vibrator
Hiyo haina shida,Usisahau vibrator
Sikufanikiwa Mkuu,Vipi mkuu ulifanikiwa?