TajiriMutoto
Member
- Jun 20, 2012
- 86
- 38
Upo mji gani?Sasa unazungumza bila kutaja location utasaidiwaje?
WanaJF naomba kujulishwa gharama za kukodisha gari kwa ajili ya maharusi kwa siku moja ni shilingi ngapi kwa Dar? Aina ya gari Mercedes benz E Class, kwa wenye ufahamu juu ya hili naomba nifahamishwe bei zinaendaje, Asante.
wataka kuoa au kusindikiza maharusi?
Gari zinakodishwa maalumu kwa sherehe za harusi, kitchen party, send off au hata mtoko wowote ule wasiliana na Prisca kwa namba zifuatazo.....
022 -2293256 au 0655 550005.Toa taarifa wiki moja kabla ya siku unayohitaji gari.
Source: TUNAKODISHA MAGARI KWA SHUGHULI MBALIMBALI... | Majoy Blog
Usisahau kudai ten percent walau urudishe mchango babaKuna rafiki yangu wa karibu anataka kuoa mkuu
Dar es salaam mkuu