Gharama za kulipia ushuru wa trakta

BUBE

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2010
Posts
845
Reaction score
254
Wanabodi. Mimi ninajiingiza kwenye kilimo cha trakta huku Mkuranga maeneo ya Kimanzichana (kuna bonde zuri la Mpunga). Nimeagiza trakta kutoka nje. Napenda kama kuna mtu anajua gharama zinazopaswa kulipia TRA pindi linapofika hapa Bandarini Dar. Trakta imetumika ya mwaka 1999.
 
Utalipa gharama za bandari (port charges) na usajili wa trekta (registration licence) ili upate namba. Kodi nyingine zote zimefutwa kwa matrekta
 
muhimu ukipata copy za document za tractor lodge pad kabisa kuepuka storage
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…