Gharama za kulitoa gari bandarini

Gharama za kulitoa gari bandarini

Joined
Jun 28, 2013
Posts
22
Reaction score
1
​Nimeagiza gari aina ya PASSO ya mwaka 2004 kwa gharama ya $2170.
Je, nitalipa shipping line na port charges kiasi gani?
C&F agent anataka tsh 200000/= kulitoa
Naomba wazoefu mnijibu.
 
Shipping line na port charges haizid dolla 200. Shipping line ina range dola 50 had 75..na port charges range 70 had 100USD

Pia kumbuka kunakulipia yard charges kama range ya dola 70 had 100...w

Ushuru wake ni 18% ya hyo total invoice value. So jumlisha hapo utapata gharama ya jumla.
 
Fanya hivi $2170 x 2= $ 4340

ukiwa nayo hiyo unanunua gari mpaka kuendesha kwenye viunga vya DSM........that ia easiest haitazidi zaidi ya hiyo sana sana itapungua...lakini kwa tanzania ambapo mpaka mlinzi anadai rushwa weka hiyo you wont regret. zingine ni bla blah
 
ok, but i need a detailed information.
total invoice price ni $2170
TRA tsh 1724900/=
hayo mengine ndio siyajui? please nisaidie
 
Mkuu sidhani kama ni rahisi kupata 'detailed info' kwenye hilo. Hata ukipewa official price, kuna unofficial costs zitakutoka tu. Kama alivyoshauri mkuu aliyepita, andaa kama zile ulizonunulia. Haitafika bei hiyo lkn hutajilaumu ukiwa nazo tayari. Sijui siku hizi lkn nina uzoefu wa kutoa magari utakuta unachomolewa pesa mpaka getini. Ghafla unafika getini unaambiwa mwenye funguo za geti haonekani. Jitahidi mkuu utafanikiwa kulitoa, penye nia pana njia.
 
thanx bra!
nitaandaa hiyo pesa
 
Fanya hivi $2170 x 2= $ 4340

ukiwa nayo hiyo unanunua gari mpaka kuendesha kwenye viunga vya DSM........that ia easiest haitazidi zaidi ya hiyo sana sana itapungua...lakini kwa tanzania ambapo mpaka mlinzi anadai rushwa weka hiyo you wont regret. zingine ni bla blah

nashukuru kwa kunifahamisha kaka, nitajitahidi sana.
 
Mkuu sidhani kama ni rahisi kupata 'detailed info' kwenye hilo. Hata ukipewa official price, kuna unofficial costs zitakutoka tu. Kama alivyoshauri mkuu aliyepita, andaa kama zile ulizonunulia. Haitafika bei hiyo lkn hutajilaumu ukiwa nazo tayari. Sijui siku hizi lkn nina uzoefu wa kutoa magari utakuta unachomolewa pesa mpaka getini. Ghafla unafika getini unaambiwa mwenye funguo za geti haonekani. Jitahidi mkuu utafanikiwa kulitoa, penye nia pana njia.

kumbe hiyo kero kwa red tumepitia wengi eehe!
 
Back
Top Bottom