kankara bambara
Member
- Jun 28, 2013
- 22
- 1
Shipping line na port charges haizid dolla 200. Shipping line ina range dola 50 had 75..na port charges range 70 had 100USD
Pia kumbuka kunakulipia yard charges kama range ya dola 70 had 100...w
Ushuru wake ni 18% ya hyo total invoice value. So jumlisha hapo utapata gharama ya jumla.
Mkuu sidhani kama ni rahisi kupata 'detailed info' kwenye hilo. Hata ukipewa official price, kuna unofficial costs zitakutoka tu. Kama alivyoshauri mkuu aliyepita, andaa kama zile ulizonunulia. Haitafika bei hiyo lkn hutajilaumu ukiwa nazo tayari. Sijui siku hizi lkn nina uzoefu wa kutoa magari utakuta unachomolewa pesa mpaka getini. Ghafla unafika getini unaambiwa mwenye funguo za geti haonekani. Jitahidi mkuu utafanikiwa kulitoa, penye nia pana njia.
Fanya hivi $2170 x 2= $ 4340
ukiwa nayo hiyo unanunua gari mpaka kuendesha kwenye viunga vya DSM........that ia easiest haitazidi zaidi ya hiyo sana sana itapungua...lakini kwa tanzania ambapo mpaka mlinzi anadai rushwa weka hiyo you wont regret. zingine ni bla blah
Mkuu sidhani kama ni rahisi kupata 'detailed info' kwenye hilo. Hata ukipewa official price, kuna unofficial costs zitakutoka tu. Kama alivyoshauri mkuu aliyepita, andaa kama zile ulizonunulia. Haitafika bei hiyo lkn hutajilaumu ukiwa nazo tayari. Sijui siku hizi lkn nina uzoefu wa kutoa magari utakuta unachomolewa pesa mpaka getini. Ghafla unafika getini unaambiwa mwenye funguo za geti haonekani. Jitahidi mkuu utafanikiwa kulitoa, penye nia pana njia.
kumbe hiyo kero kwa red tumepitia wengi eehe!