Gharama za kununua timu ya soccer ya daraja la pili

Gharama za kununua timu ya soccer ya daraja la pili

JFK wabongo

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2015
Posts
3,887
Reaction score
3,197
Wadau kuna mdiaspora anataka kununua timu Tanzania. Iwe walau inashiriki ligi daraja la pili ili aipandishe daraja la kwanza na hatimaye ligi kuu. Kama unaijua timu inayoweza kuuzika nijulishe tupige mpunga.
 
dili zuri hili. ila kwann usimdhauri atengeneze timu from the scratch na aipandishe?
 
Kuna timu ipo huku mtaani kwetu sasa ipo ligi daraja la pili... Fanya kunicheki tuone uwezekano wa kupiga mpunga.
 
dili zuri hili. ila kwann usimdhauri atengeneze timu from the scratch na aipandishe?
Kuanza kwenye scratch hadi kufika ligi kuu inaweza kuchukua muda gani? (Assuming kuwa inafuzu kila daraja kila mwaka)
 
Tengeneza timu yako na falsafa yako haya mambo ya kununua utakaliwa kooni na mashabiki wenye asila kali.
 
Tengeneza timu yako na falsafa yako haya mambo ya kununua utakaliwa kooni na mashabiki wenye asila kali.
Mi dalali tu ndugu, hapa najaribu kutafuta njia nyepesi ya kupata grisi kulainisha vyuma
 
Chini ya miaka 18?? Au mibaba kama wa Taifa Stars..
 
Chini ya miaka 18?? Au mibaba kama wa Taifa Stars..
Wachezaji atasajili kulingana na taratibu, kinachotakiwa ni hadhi tu. Yaani ni kama Mo alivyoinunua Mbagala Market na kuiita African Lyon
 
Back
Top Bottom