JFK wabongo
JF-Expert Member
- Aug 11, 2015
- 3,887
- 3,197
Kuanza kwenye scratch hadi kufika ligi kuu inaweza kuchukua muda gani? (Assuming kuwa inafuzu kila daraja kila mwaka)dili zuri hili. ila kwann usimdhauri atengeneze timu from the scratch na aipandishe?
Hii mbinu kama imekaa kidhulumati lakini..hakuna haja ya kuinunua, unatengeza mamluki kisha unabeba timu.
Poa mkuu, je unayo influence kwenye timu?Kuna timu ipo huku mtaani kwetu sasa ipo ligi daraja la pili... Fanya kunicheki tuone uwezekano wa kupiga mpunga.
Hapana mkuu.Poa mkuu, je unayo influence kwenye timu?
Mi dalali tu ndugu, hapa najaribu kutafuta njia nyepesi ya kupata grisi kulainisha vyumaTengeneza timu yako na falsafa yako haya mambo ya kununua utakaliwa kooni na mashabiki wenye asila kali.
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] nikajua upo hata benchi la ufundi mkuuuHapana mkuu.
Wachezaji atasajili kulingana na taratibu, kinachotakiwa ni hadhi tu. Yaani ni kama Mo alivyoinunua Mbagala Market na kuiita African LyonChini ya miaka 18?? Au mibaba kama wa Taifa Stars..
Hapana mkuu, hii ni timu ya mtaa mwingine, ila nina jeuri ya kuongea na viongozi wake na wakanisikia.[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] nikajua upo hata benchi la ufundi mkuuu
Simba na Yanga hazinunuliki, asilimia 49/51 inasumbua.Nunua Yanga nasikia inauzwa, Nipm nikupe No za Akilimali
Dunia inahama kutoka timu za wanachama kuwa makampuni. Kuwa wanachama ni kuunguza pesa bila faida.Awe mwanachama tu wa hiyo timu biashara imeisha atakuwa kama manji tu
Hebu fanya kuwadadisi mkuu kama wanaweza iweka sokoni.Hapana mkuu, hii ni timu ya mtaa mwingine, ila nina jeuri ya kuongea na viongozi wake na wakanisikia.