Gharama za kuondoa maji katika mapafu (pleural effusion)

lete rimoti

Senior Member
Joined
Aug 24, 2021
Posts
152
Reaction score
196
Wakuu naomba Kuuliza hospital zinazofanya Tapping Kwa mgonjwa aliye na Maji kwenye mapafu. (Tapping ni njia ya kutoa Maji Kwa Kutumia sindano)

Nina Mgonjwa ambaye ana Maji katika pafu Moja. Sasa Bei ya Muhimbili Naona Siiwezi. Kwasababu Kila baada ya Wiki2 anatakiwa KUONDOLEWA Maji.

Mwenye Uzoefu na hospital zingine anijuze please.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…